jibu utalipata iwapo utatafuta ni kwa nini wamasai wanapoimba nyimbo zao wanaruka juu au kwa nini wamakonde wanapocheza sindimba wanakata viunoHivi kunaa anaejua sababu ya hii;;nyimbo nyingi za asili wanajiachia hewan wakifka za wachaga akuna anaetaka kumwachia mkono mwenzake tena wakianza kucheza macho yanaangalia kulia na kushoto mifukon kuna kuwa nakutokuminiana ama KARIBUN MASHEMEJ ZANGU MTUPE JIBU
Chezea mchaga na mfuko wake
Hivi kunaa anaejua sababu ya hii;;nyimbo nyingi za asili wanajiachia hewan wakifka za wachaga akuna anaetaka kumwachia mkono mwenzake tena wakianza kucheza macho yanaangalia kulia na kushoto mifukon kuna kuwa nakutokuminiana ama KARIBUN MASHEMEJ ZANGU MTUPE JIBU
u made my day :israel::israel:hapo kwasababu wasiibiane hela ndo maana wanashikana mikono