Hivi kwa nini wachaga wakiimba nyimbo ya asili wana shikana mikono na kupepesa macho

Hivi kwa nini wachaga wakiimba nyimbo ya asili wana shikana mikono na kupepesa macho

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hivi kunaa anaejua sababu ya hii;;nyimbo nyingi za asili wanajiachia hewan wakifka za wachaga akuna anaetaka kumwachia mkono mwenzake tena wakianza kucheza macho yanaangalia kulia na kushoto mifukon kuna kuwa nakutokuminiana ama KARIBUN MASHEMEJ ZANGU MTUPE JIBU
 
jibu utalipata iwapo utatafuta ni kwa nini wamasai wanapoimba nyimbo zao wanaruka juu au kwa nini wamakonde wanapocheza sindimba wanakata viuno
 
Ningekuwa na Mamlaka Kuanzia Njia panda ya Himo Mpaka Namanga ningeliwatangazia Uhuru wao kupunguza Umafia,usanii na utapeli maeneo mengine!
 
Upendo, Amani, Umoja, Udugu, Ushirikiano. Jambo ambalo ni vizuri wengine wakaiga pia
 
Hivi kunaa anaejua sababu ya hii;;nyimbo nyingi za asili wanajiachia hewan wakifka za wachaga akuna anaetaka kumwachia mkono mwenzake tena wakianza kucheza macho yanaangalia kulia na kushoto mifukon kuna kuwa nakutokuminiana ama KARIBUN MASHEMEJ ZANGU MTUPE JIBU

Wanaogopa kuibiana
 
Kuonyesha umoja na ushirikiano chini ya himaya ya mbuya ya mchagga
 
Ndani ya dala dala ukiona kuna mtikisiko au kusukumana sana jua kuna mtu humo ndani anaibiwa. Nyimbo za hawa jamaa hakuna kujiachia kisa kila mmoja ni mlinzi wa mwenzie mikono haiachanishwi kwa sababu pick pocket wengi asili yao ni uchagani.
 
wachaga wanapiga kazi jamani na wana upendo .Bora wao wanajikopesha na kupenda maendeleo ya wengine wana kheri wachagga.
 
Hivi unajua maana ya neno, IRANGO kwa kiswahili na MARANGO, kwa kiswahili? Chezea Chaga weye, Maana yake wote waizi hawa aminiani ndio maana lazima washikane mikono, hata kama ni baba mkwe.
 
Back
Top Bottom