Hivi kwa nini Wachagga wengi meno yao ni ya rangi gold?

Wachaga wamebanwa sana wanatafuta hela kwahiyo wanakosa muda wa kuswaki.
 
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze

sio wachaga tu,hata watu wa singida.
 
Dental fluorosis
7byln.jpg
 
ndo umewachoka kihivyo sema yote ili upate jibu moja sahihi.
 
Mkubwa! Achana kabisa na huyu ritz,Rejao na wengine kama hao 2naowajua humu jamvini kwani majibu wanayo halafu wana2gasi hovyo humu ndani. Kama m2 kapitia shule ya msingi then vidato vingine halafu analeta topic kama hii ya ritz si ajabu tupo. Halafu naye Rejao anasema watakiwe radhi wachagga kwani wao hawana meno kama hivyo waarusha ndiyo wanayo. Nimemshangaa kidogo lakini baada ya kufikiri nikajua ndiyo walewale na inaweza ikawa ndiyo hivyo alivyo na nikamwambia hakuna kabla la waarusha bali tunayo kabla la maasai hapa Arusha na karibu wametapakaa Nchi nzima.

ndugu Arusha one,kabila la waarusha lipo usibishe ila they share a lots with maasai,the only difference ni kuwa maasai are pure nilots while waarusha ni mixture ya makabila kama manne wamasai wakiwemo.Back to the point we Ritz swali lako limejibiwa vizuri sana na mkuu FA hapo juu,ingawa sina hakika sana kama kweli ulitaka kujua hilo ama ulikuwa na lako nyuma ya pazia
 
Jamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi
 
umemaliza kiongozi,mitizamo kama hii ndiyo inayojenga,haya mathread ya aina hii sijui yana faida ipi!
 
Jamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi
Uporoto nafikiri hapa JF hakuna makabila yanayozungumzwa na kuandamwa kama vile Wachaga na Wahaya
 
wachagga tena, leo tuna meno ya dhahabu, na waarusha wawe na meno gani?
(kiasi kidogo saaaaana cha wamachame na wakibosho ndo wenye meno haya)

Siyo waarusha pekee ila ni asilimia kubwa ya wazaliwa wa Arusha regardless ni kabila gani
 
Ah Me nilikuwa najua wanachama wa Yanga Ndio ID yao hiyo kuingia club unaonesha meno wakikuta ya njano unaingia ndani na wakikuta meupe wanajua huyu ni Wa Simba huingii klabuni
i
dental-fluorosis.jpg
Sio arusha na Kilimanjaro tu hata Huku Kwetu Wapo
 
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze

Mkuu nadhani umepata jibu sawia...waweza kunijuza kwa nini wakwere wana vichwa vya kiikweere?
 
Mkuu, kwa kweli sijui chochote kuhusu waakweree!
 
Jamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi

Mkuu, kwani tatizo nini kuuliza tu ili kujua, kama kuna Wachagga humu JF kwa nini ni-Google?
 
Nashukuru kwa majibu yenu wana JF wenzangu.

Kingine kwa nini Wamachame na Wakibosho hawapatani?
 
Kuna mtu nilimsikia akisema dawa yake ni kumwaga sana mifupa kwenye vyanzo vya hayo maji ili ku nutrolize hiyo floride,maana mifupa ina kiwango kikubwa cha calsium,je ni kweli?na je kiwango cha flouride kwenye maji ya kawaida ni ngapi?
 
kama hawapatani wewe inakuhusu nini kama sio umbea?

Nasikia wanawake wa Machame wanaitwa wapelestina, wakibosho wanawaogopa sana hata kuwaoa wanaogopa, hivi ni kweli?
 
ukiendelea hivi na mambo ya kike utakuja sutwa na ungekuwa unaishi Magomeni wangekuposa kabisa.
 
Back
Top Bottom