Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..
Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze
Mkubwa! Achana kabisa na huyu ritz,Rejao na wengine kama hao 2naowajua humu jamvini kwani majibu wanayo halafu wana2gasi hovyo humu ndani. Kama m2 kapitia shule ya msingi then vidato vingine halafu analeta topic kama hii ya ritz si ajabu tupo. Halafu naye Rejao anasema watakiwe radhi wachagga kwani wao hawana meno kama hivyo waarusha ndiyo wanayo. Nimemshangaa kidogo lakini baada ya kufikiri nikajua ndiyo walewale na inaweza ikawa ndiyo hivyo alivyo na nikamwambia hakuna kabla la waarusha bali tunayo kabla la maasai hapa Arusha na karibu wametapakaa Nchi nzima.
Jamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi
Uporoto nafikiri hapa JF hakuna makabila yanayozungumzwa na kuandamwa kama vile Wachaga na WahayaJamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi
wachagga tena, leo tuna meno ya dhahabu, na waarusha wawe na meno gani?
(kiasi kidogo saaaaana cha wamachame na wakibosho ndo wenye meno haya)
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..
Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze
Jamani naomba mods wawalinde Wachagga hii imekua TOO MUCH(msisitizo) sasa haipiti siku bila ndugu zetu hawa kuanzishiwa thread hapa tena zingine hazina kichwa wala magoti,kama huyu muanzisha thread hii angekuwa ametembea Tanzania angegundua tatizo hili lipo sehemu nyingi kama kilimanjaro,Arusha,Manyara na Singida.Pia angechukua dakika 10 tu google angegundua kiini cha tatizo.
kwa makadirio ya haraka(yangu binafsi)karibu wanaume asilimia 40 % na kina dada 60 % wanachama hapa ni kutoka jamii hii naomba tuache kuwakwaza,utani siku moja moja sio mbaya kule jokes lakini hili la kila kukicha halipendezi
Nashukuru kwa majibu yenu wana JF wenzangu.
Kingine kwa nini Wamachame na Wakibosho hawapatani?
ukiendelea hivi na mambo ya kike utakuja sutwa na ungekuwa unaishi Magomeni wangekuposa kabisa.Nasikia wanawake wa Machame wanaitwa wapelestina, wakibosho wanawaogopa sana hata kuwaoa wanaogopa, hivi ni kweli?