Wanaume wengi huteseka sana kwa kutoridhishwa ndani ya ndoa zao hivyo huenda kununua ngono inakouzwa. Wanaume wengine ni wasafiri, wapenzi wao wako mbali nao, ila wanahitaji kujiburudisha kwa ngono na hulazimika kununua kwani kujenga mahusiano ya kudumu inakuwa vigumu. Wanaume wengine kwa sababu mbali mbali hawana wanawake wa kudumu (wake, wachumba, n.k.) huvyo huridhisha matamanio yao kwa kununua ngono.
Kwa kifupi, mwanaume aliyekamilika kibayolojia hulipia tamaa zake za kingono kuliko kitu kingine chochote. Ni tamaa za kingono zinazowafanya wanaume wawe tayari kulipa gharama kubwa sana ili kuwaweka wanawake ndani kama wake zao. Karibu ndoa zote mwanaume ndo provider, hata kama mwanamke ana mapato makubwa lakini mwanaume ndo hugharimia zaidi kuwepo kwa familia; ingawa inaweza isimsaidie sana kingono, lakini evolutionary instincts za mwanaume zinamtuma hivyo ndo maana akikosa ngono ndani huanzisha mahusiano mengine, .... na mengine.... na mengine ... hadi atakapokufa.
Mwanaume siku zote anafukuzia wanawake hapa na pale hadi atakapokufa ... kwa hiyo kulipia ngono ni sehemu ya zoezi hilo.
Mwanaume and DRIVE kubwa zaidi ya kutaka ngono kuliko mwanamke, hata kama baada ya ngono kufanyika mwanamke anaweza akawa amenufaika zaidi, mwanamke hana DRIVE hivyo hupokea.
Biashara ya ngono ipo kwa sababu wanaume (wanunuzi) wapo ... na Wanawake (wauzaji) wapo vile vile.