Huko kwenu koromije demu akiamka asubuh anshtua na kiporo cha ugali na mtindi kabla hajanywa kombe la uji na magimbi kama kifungua kinywa, mchana anakandamiza mlima wa ugal wa mtama na dagaa, usiku dona na maziwa, sasa unadhani hilo tumbo linapataje nafasi ya kutupia chakula kingine mbali na hivyo
Huku kwa bashite watu wanakula kidogokidogo bt mara nyingi, so ukiingia mjini kwa mara ya kwanza uwe unatulia kwanza kusoma mazingira sio unakurupuka tu kuanzisha uzi, it seems huna Christmas nyingi mjini.
Karibu sana, hio ndio dsm.
Hakikisha unaingia kwenye daladala na Viatu vyako mana hamkawiagi kuingia peku then ukishuka umdai konda kua uliviacha hapo nje kabla hujapanda