Hivi kwa nini Wanawake wengi wanapenda kula sana?

Hivi kwa nini Wanawake wengi wanapenda kula sana?

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Hivi inakuaje unakuta mdada ni mrembo kisura mpaka figure matata. Ila ni mlafi balaa.

Yaani ulaji wake si wa kistaarabu. Kila kilicho mbele yake yeye twende.

Hii tabia naomba muiache mara moja maana mtakimbiwa sana zama hizi za wastaarabu
 
Ingia kwenye mahotel/migahawani uone ni akina nani wengi zaidi na wanaagiza vyakula kama wanakimbizwa. Huwa najiuliza hivi hawa wanaume familia zao wameziachia chakula kama wao wanavyojichana mahotelini/migahawani?
 
Yaani wanaume wa mikoani sijui mkoje.
Mtuache jamani.
Kama hamna pesa ni nyie....wanaume zetu wa Dar wanazo.
Acheni tule mpaka matumbo yafunike papuchi zetu.
Washajizoelea wenyewe kufunua matumbo kitandani kutafuta papuchi.
 
c2e6a524bf696453ba41297acfd83ed4.jpg
ndo nakula hivyo
 
Kwanza jina lako tuu linaonesha ww ni mbahili hata kununua chakula unaona hasara halafu unasingizia tunakula sana,..waache wale bwana matumbo si yao.
 
Huko kwenu koromije demu akiamka asubuh anshtua na kiporo cha ugali na mtindi kabla hajanywa kombe la uji na magimbi kama kifungua kinywa, mchana anakandamiza mlima wa ugal wa mtama na dagaa, usiku dona na maziwa, sasa unadhani hilo tumbo linapataje nafasi ya kutupia chakula kingine mbali na hivyo
Huku kwa bashite watu wanakula kidogokidogo bt mara nyingi, so ukiingia mjini kwa mara ya kwanza uwe unatulia kwanza kusoma mazingira sio unakurupuka tu kuanzisha uzi, it seems huna Christmas nyingi mjini.
Karibu sana, hio ndio dsm.
Hakikisha unaingia kwenye daladala na Viatu vyako mana hamkawiagi kuingia peku then ukishuka umdai konda kua uliviacha hapo nje kabla hujapanda
 
Wanawake kuleni tu mpaka matumbo yakianza kuuma dr ashindwe kujua ulikula nn
Nyie kuleni tu maparachichi maembe matikiti kula miwa mpaka mkijamba tusikie kama kibudu

Mmezidi kula aiseeeee sijui mkija kunyonyesha itakuwaje
 
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/3de3282e03f72da13425776f264a029c.jpg[/IMG
Huyu nae ni mwanamke!!!]
 
Back
Top Bottom