Hivi kwa nini Wanawake wengi wanapenda kula sana?

mtuache khaa!kwan unatoa pesa wewe! tena umenikumbusha popcorn zangu ngj niamke nizifate nitafune kutafta usingz
popcorn + cornflakes + ubuyu + ice cream

yaaani nisipo mnunulia moja kati ya hivyo au vyote basi huo mnuno sio wa kawaidaa....aisee!![emoji20]

ila napenda vile yuko free kula mbele yangu [emoji1][emoji1]
 
Hivi inakuaje unakuta mdada ni mrembo kisura mpaka figure matata. Ila ni mlafi balaa.

Yaani ulaji wake si wa kistaarabu. Kila kilicho mbele yake yeye twende.

Hii tabia naomba muiache mara moja maana mtakimbiwa sana zama hizi za wastaarabu
Kama anapenda kula muache tu chief ndo starehe yake!
 
Sasa hiyo figure anaipataje bila kula...? Mwili haujengwi kwa tofali
Kuna utofauti kati ya kula na urafi. Sikatai mtu kula. Kula kwa kipimo na kistaarabu. Sio umeona embe unabugia, bagia unabugia, mayai unabugia, sambusa twende, mara ice cream wewe. Hapo kwa wakati mmoja.

Hapana jamani wadada acheni hizo mambo. Kama figure unayo unayo tu. Haiji kwa urafi
 
Hivi inakuaje unakuta mdada ni mrembo kisura mpaka figure matata. Ila ni mlafi balaa.

Yaani ulaji wake si wa kistaarabu. Kila kilicho mbele yake yeye twende.

Hii tabia naomba muiache mara moja maana mtakimbiwa sana zama hizi za wastaarabu
Jamani kula lazima kuoga hiyari!
 
Eat whatever you want and if anybody lectures on your weight eat them too
 
At some point uko sahihi wanadada wengi ukimtoa out lazima ale
 
Binafsi nampenda mwanamke anaekula sana...labda km ckukuelewa ulimaanisha "wanapenda kulakula"
 
Anhaa kumbe basis ungeandika "kwa nn wadada wengi ni walafi?" Maana kupenda kula sana sio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…