CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
bia ni ngano chapati sita kwa chupa moja halafu ile unakunywa umerelax huku unarudhia na nyago za nyama ya mbuzi au kiti cha moto ,... full tabasamu.... wanywa gongo wanakunywa huku wakiwa kma wapo kwenye mbio za mita mia moja hawatuliii kabisa .. halafu kwenye gongo hamna nyama wala kurelax..
ha ha ha we tulia banaKhaaaaa! Eti Bia moja ni Chapati 6
Umeamua kupotosha makusudi au ni kwa bahati mbaya tuu?
Chupa moja ya gongo ni sawa na kreti kumi za bia hasa chang'''aaaa!!!!
miss chagga FaizaFoxy hawa ni walevi wa gongo au chang'aa
bia ni ngano chapati sita kwa chupa moja halafu ile unakunywa umerelax huku unarudhia na nyago za nyama ya mbuzi au kiti cha moto ,... full tabasamu.... wanywa gongo wanakunywa huku wakiwa kma wapo kwenye mbio za mita mia moja hawatuliii kabisa .. halafu kwenye gongo hamna nyama wala kurelax..
kidogo mkuumkuu nimekukubali kumbe una uzoefu na hii mikitu
kidogo mkuu
Ukiona wa hivyo hali chakula akashiba pombe inamnyonya
inanyonya nini tena weye?
Mwili ....
:sly:😉
Wengi wao wanakula nyama sana na asilimia kubwa ya tumbo ni mavi
Ha ha haa mtu anakunywa huku anachungulia mgambo kama wanakuja atanenepa saa ngapi..?bia ni ngano chapati sita kwa chupa moja halafu ile unakunywa umerelax huku unarudhia na nyago za nyama ya mbuzi au kiti cha moto ,... full tabasamu.... wanywa gongo wanakunywa huku wakiwa kma wapo kwenye mbio za mita mia moja hawatuliii kabisa .. halafu kwenye gongo hamna nyama wala kurelax..
aahaaaa ahaaaaaaaa jf raha sana sihami katu
Ha ha haa mtu anakunywa huku anachungulia mgambo kama wanakuja atanenepa saa ngapi..?
Wengi wao wanakula nyama sana na asilimia kubwa ya tumbo ni mavi