CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
bia ni ngano chapati sita kwa chupa moja halafu ile unakunywa umerelax huku unarudhia na nyago za nyama ya mbuzi au kiti cha moto ,... full tabasamu.... wanywa gongo wanakunywa huku wakiwa kma wapo kwenye mbio za mita mia moja hawatuliii kabisa .. halafu kwenye gongo hamna nyama wala kurelax..
Khaaaaa! Eti Bia moja ni Chapati 6
Umeamua kupotosha makusudi au ni kwa bahati mbaya tuu?