hivi kwa nini?

Huyo mwanamke naye ni bora amletee huyo mwanamme mimba ya njemba ingine...
 



hapo ndipo panachosha mami, wao wanaona ni haki yako ku2chezea rafu wao wakichezewa panachimbika,haaa! kafanana nae kisogo au u2mbo walllah nitacheka mpaka bac.
 
Kuna mama mmoja wa makamu shodt nilimkuta saloon siku moja alikuwa anasimulia vituko vya mumewe akasema kuwa alishawahi mwambiaga mumewe kila siiku huwa anaomba MUNGU amwepushe mumewe na vishawishi vya wasichana wa Dar akasema huwa anaomba kuwa siku akitoka nje ya ndoa tu basi akiwa anarudi nyumbani apate ajali afe. mume akasikitika sana akamwambia mkewe kweli kabisa na mungu asikie sala zako. Boo! baada ya wiki si akaenda chemba mke kujua akaishia tu kusema 'ah kumbe hata hizi sala huwa hazisaidii siku nyingine' shosti nilicheka hadi leo nikikumbuka huwa nacheka peke yangu.
 

Ukiletewa mwingine je? ambaye ni mkubwa kuliko wa kwako na huyo mwingine ambaye mama yake alifariki na ukaona yupo copy right na baba yake utamkataa?
 
Ukiletewa mwingine je? ambaye ni mkubwa kuliko wa kwako na huyo mwingine ambaye mama yake alifariki na ukaona yupo copy right na baba yake utamkataa?


Fidel! ndio mana nilimuuliza mapema ile kabla cjaingia, na yeye aliniambia ni huyo 1 tu, na tukaongea akamchukua, sasa hata aje/atokee wa namna gani SITAMPOKEA!
 



looo shost mie cna mbavu, leo unanimaliza kabisa! haaa hadi machozi! weekend naianza vizuri! hapana kabisa kila mtu ana lake humo ndani lol, wee
 
looo shost mie cna mbavu, leo unanimaliza kabisa! haaa hadi machozi! weekend naianza vizuri! hapana kabisa kila mtu ana lake humu ndani lol, wee

. Pole shost ndo mana tunaambiwa shukuru kwa ulichonacho maana ukisimuliwa vya watu ah unabaki ka MwanajamiiOne hapa ngoja kwanza nile ujana ah!! Weekend njema mamii. 😎
 
. Pole shost ndo mana tunaambiwa shukuru kwa ulichonacho maana ukisimuliwa vya watu ah unabaki ka MwanajamiiOne hapa ngoja kwanza nile ujana ah!! Weekend njema mamii. 😎


u 2 love! take gud care of ur self mami.
 
Ahh mama nanihii punguza hasira...Shetani unajua..ni samehe mke wangu ...tumetoka mbali...hii ni bahati mbaya...si unajua tena..kwani tangu mimi na wewe tumeoana ukiacha huyu mtoto uliyemkuta...kwani umesikia au kuniona kuwa mimi ni mtu wa wanawake?....hebu fikiria ...ningekuwa naendekeza tungefanya maendeleo yote haya?

JIBU:Sawa ,lakini siyo vizuri unavyofanya...nimekusamehe usirudie tena.

SHUGHULI IMESHA.MWANAUME HUYOOOO, TARATIIIIIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…