Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Huyo mwanamke naye ni bora amletee huyo mwanamme mimba ya njemba ingine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke naye ni bora amletee huyo mwanamme mimba ya njemba ingine...
. Asa shost shostitito mwenzetu anaona kabisa kuwa mwana hajarandana na anayesema ni baba yake na bado anasema anafanana naye sasa si itakuwa pengine kisogo (vile Fidel hajawahi kuona kisogo chake so itabidi tu aamini) au utumbo ah maisha yanakwenda.
Si unaona wanavyoumia wakitendwa wao? Ila wao sasa kukuletea mwana wa nje ya ndoa alompata baada ya kuoa wanaona ni kitu cha kawaida na kushangaa kwa nini huelewi!
nisome vizuri fidel, mie wangu nampenda kama wa kumzaa but sio aniletee wa nje zaidi ya mwanangu nikampokea, hiyo anisamehe, huyo wangu mama yake alipofariki 2lienda huko kjjn kwao kuzika, nikamwacha mtoto amalize mcba, baba yake alipoenda kumchukua arudi skul bibi alimkatalia akisema anaogopa mjukuu wake ku2nzwa na mwanamke mwingine(aliogopa acpate manyanyaso ambayo kweli baadhi ya wanawake wanayo kwa watoto wa nje) akamwambia kama unataka kumchukua mwanao naomba umwambie mkeo aje niongee nae kama mwanangu na kama mwanamke anaejua uchungu wa mtoto, nilienda kjjn nikaongea na huyo mama, na nikamwahidi hata yeye yupo free wakati wowote kuja kumsalimia mjukuu wake pale anapojickia, na mtoto akiwa likizo must nimpeleke japo kwa wiki 1 akakae na bibi yake, nafanya yote haya kwa ajili nilimkuta na ckupenda mtoto niliemkuta nae mr ateseke wakati baba yake ana uwezo wa kumsomesha ipasavyo, ni kwa huyo tu mwingine chini ya wa kwangu niliemzaa SITAMPOKEA.
Ukiletewa mwingine je? ambaye ni mkubwa kuliko wa kwako na huyo mwingine ambaye mama yake alifariki na ukaona yupo copy right na baba yake utamkataa?
Kuna mama mmoja wa makamu shodt nilimkuta saloon siku moja alikuwa anasimulia vituko vya mumewe akasema kuwa alishawahi mwambiaga mumewe kila siiku huwa anaomba MUNGU amwepushe mumewe na vishawishi vya wasichana wa Dar akasema huwa anaomba kuwa siku akitoka nje ya ndoa tu basi akiwa anarudi nyumbani apate ajali afe. mume akasikitika sana akamwambia mkewe kweli kabisa na mungu asikie sala zako. Boo! baada ya wiki si akaenda chemba mke kujua akaishia tu kusema 'ah kumbe hata hizi sala huwa hazisaidii siku nyingine' shosti nilicheka hadi leo nikikumbuka huwa nacheka peke yangu.
looo shost mie cna mbavu, leo unanimaliza kabisa! haaa hadi machozi! weekend naianza vizuri! hapana kabisa kila mtu ana lake humu ndani lol, wee
Ahh mama nanihii punguza hasira...Shetani unajua..ni samehe mke wangu ...tumetoka mbali...hii ni bahati mbaya...si unajua tena..kwani tangu mimi na wewe tumeoana ukiacha huyu mtoto uliyemkuta...kwani umesikia au kuniona kuwa mimi ni mtu wa wanawake?....hebu fikiria ...ningekuwa naendekeza tungefanya maendeleo yote haya?Mbona sipo tu haiwezekani kumpokea kwa vile bado anatakiwa apate mapenzi ya mama mzazi ambaye bado yu hai! Asitie mguu hadi aruhusiwe kisheria ( Ingawa mtoto hana kosa wala hatia hapo ila kina baba mnatukwaza sana tu.
Ningekenda tafuta mtoto mwingine wa dada yangu nimwambie nami ni wangu tofauti tu ni kuwa mimba ilibebwa na mwenzangu (mwanaume) ah mnakera sana ninyi.