Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
walipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume! wameoana miaka mi4 iliyopita wanaishi na huyo mtoto pa1 na wakwake wa kike, anampenda mtoto wa kiume kama wa kwake wa kumzaa, alianza kuckia tetec kwamba mume wake anatembea na mdada fulani kuulizwa mwanaume kakanusha, akackia mdada mjamzito baadae kajifungua mtoto wa kiume kumbe ni wa mumewe(awali alikana kumtambua huyo binti), jana mwanaume anamwambia kuna mtoto inabidi aje aishi pale coz amekorofishana na huyo mama wa mtoto( amemfumania) sasa anataka amlete hapo waishi pa1 ili aachane kabisa na huyo binti wa nje, mwanamke hajui cha kufanya anasema yeye kwa nini alee tu watoto wa wenzie na usumbufu kila kitu na ka baby bado miezi 4 kaingize 2yrs, aliniomba ushauri na mcmamo wangu cku zote hata kwa mr ni huu:
mie pia naishi na mtoto wa mr niliemkuta nae, but nilishamwambiaga mr, mtoto chini wa huyu wangu wa kumzaa ctampokea nyumbani kwangu umtafutie makazi yake, naishi na huyo niliemkuta coz nilimkuta,so mie nikamwambia hapo cna cha kukushauri mana kwangu icngewezekana kumchukua huyo mtoto.
naomba 2msaidie.