Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
jaji anaundiwa tume ya Majaji wakiwemo wa kuoka commonwealth , then akipatikana na hatia wanapendekeza kwa Rais na kuchuku hatua ya kumvua ujaji.... sasa sijui baaada ya ujaji kama anashitakiwa...Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki.
Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola?
Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia nyingi zakukwepa uwajibishwaji wa watu waliowasaidia kubaki madarakani. Ule mkeka wa majaji una maswali mengi sana, tuumulike
Bongo enzi za maraika ilikuwa unatunukiwa tu.Kwani kuwa Jaji si mpaka upitie level fulani fulani kwenye Uanasheria au mie ndie sielewi
USA kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ni kazi pilikapilika zake ni hatari
Huku kwetu hata Masanja mkosa elimu anaweza kuwa kiongozi
Anaweza kushtakiwa kama ametenda makosa ya jinai. Baada ya kusimamishwa na tume anavuliwa ujaji ili aweze kujibu mashtaka mahakamani, na kama atakuwa na hatia ndio inakuwa kwaheri Ila asipokutwa na hatia anarudishiwa nafasi yake.jaji anaundiwa tume ya Majaji wakiwemo wa kuoka commonwealth , then akipatikana na hatia wanapendekeza kwa Rais na kuchuku hatua ya kumvua ujaji.... sasa sijui baaada ya ujaji kama anashitakiwa...