kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Naona hela ya kula nakosa ngoja niwe na plan nyingineVumilia mkuu
Fanya hivyo mkuuNaona hela ya kula nakosa ngoja niwe na plan nyingine
Dah si kufanya mkuu maana nilivyooneshwa na dalali nikalipenda wauza viatu vya kiume wengi me nikaweka vya kike ila wanawake wananipita tuMkuu hukufanya research kwenye hilo eneo kabla?
Je bidhaa unazouza wewe ndizo walizokua wanauza waliokutangulia hapo kabla yako?
Unaweza kuhama hilo eneo ila ukaenda eneo ambalo nalo pia likawa gumu kwako,jaribu kua unafanya research kabla hujafikia maamuzi.
All the best and good luck mkuu.