kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Hivi wadau mfano umepata goli sehemu ambapo biashara haiendi na umelipia ndani ya wiki moja ni sahihi kuhama yaani wiki nzima hujauza na kodi umelipia miezi 4 na huku wenzako wanauza balaa,na waliowahi kufanya biashara kwenye goli hilo kama yako wanasema pagumu