Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Kuna taarifa nimeiona huko Marekani nimepatwa na maswali
Kuna kauli Donald Trump alitoa kama siku 5 nyuma ambayo chama cha upinzani cha Democrats kimemshikia mabango na kusema anatakiwa kutengua kauli yake
Wakati anatoa hotuba yake huko mjini Des Moines, Iowa Trump wakati anawaongelea Democrats alinukuliwa akisema, “Siwawezi kabisa, kwa sababu naamini kwa dhati kuwa wanachukia nchi yetu.”
Hii kauli imeshambuliwa sana na wapinzani wake wakisema anachochea chuki.
Sasa kwa context ya kibongo, is there such a thing kama hate speech na maneno gani ambayo ukisikia unasema kwamba hii ni hate speech