Hivi kwa tarakimu hizi, mfumuko wa bei umepungua au umeongezeka?

Hivi kwa tarakimu hizi, mfumuko wa bei umepungua au umeongezeka?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Naomba kuelemishwa Wana Jamiforums. Wiki iliyopita thamani ya Shilingi ya Tanzania ilikuwa $1=2450 leo thamani ya Shillingi ni $1=2498. Hivi kwa tarakimu hizo mfumuko wa bei umepungua au umeongezeka?. Mbona kila mara tunaelezwa na Tanzania Bureau of Statistcs kuwa mfumuko wa bei unapungua ili hali thamani ya shillingi ya Tanzania dhidi ya dollar inapungua thamani?.
 
By principle ,Inflation is a continuous persistent of increase of general price level with severe fall of the value of domestic currency, lakini sio lazima iwe hivyo ,

Kuna mambo mengine mengi yanashusha thamani ya shilingi

Samahani sisi wengine tulienda shule kupoteza muda
 
Back
Top Bottom