Naomba kuelemishwa Wana Jamiforums. Wiki iliyopita thamani ya Shilingi ya Tanzania ilikuwa $1=2450 leo thamani ya Shillingi ni $1=2498. Hivi kwa tarakimu hizo mfumuko wa bei umepungua au umeongezeka?. Mbona kila mara tunaelezwa na Tanzania Bureau of Statistcs kuwa mfumuko wa bei unapungua ili hali thamani ya shillingi ya Tanzania dhidi ya dollar inapungua thamani?.