Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Nadhani Jamiiforums ni moja ya mitandao yenye warembo na vijana wazuri saana.
Wengi wapo kwenye mahusiano tofauti na tunavyofikiria na yapo serious kabisa.
Na wengi wanamichepuko Yao humu humu. Sasa linalonishangaza ni kwa jinsi gani wanahakikisha hawawatongozi wapenzi wao wa zamani maana humu unaweza Kuta mtu ana ID zake nne au tano!
Kinachofanya niulize hili miaka michache kidogo nilijaribu kujitafutia mrembo humu week kadhaa hazikuisha kabla ya kupewa majibu kumbe nilishamtongozaga kwenye ID nyingine na tunawasiliana nje ya JF. Wakuu nyie hili mnaliepuka vipi?