Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Nadhani Jamiiforums ni moja ya mitandao yenye warembo na vijana wazuri saana.

Wengi wapo kwenye mahusiano tofauti na tunavyofikiria na yapo serious kabisa.

Na wengi wanamichepuko Yao humu humu. Sasa linalonishangaza ni kwa jinsi gani wanahakikisha hawawatongozi wapenzi wao wa zamani maana humu unaweza Kuta mtu ana ID zake nne au tano!

Kinachofanya niulize hili miaka michache kidogo nilijaribu kujitafutia mrembo humu week kadhaa hazikuisha kabla ya kupewa majibu kumbe nilishamtongozaga kwenye ID nyingine na tunawasiliana nje ya JF. Wakuu nyie hili mnaliepuka vipi?
 
Ni kwa kuacha kutongoza tu baada ya kumpata mmoja...

Ujuwe kuna kutestiwa
 
Kuna kenge zitakurupuka na zitanaswa na ndio itakuwa wamethibitisha ule usemi wa kenge alieingia mkenge.. si nimeonya ila kenge huwa hawasikii majibu mtayapata hapahapa..๐Ÿคฃ
 
Kwanza nilikumiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ