Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

Dogo hujaacha tu ubazazi!!
 
Unajilipua tu ukiona hali tete unahamia kwingine hahaa
Umeongea kiuzoefu hatarii..!!! Hapo kwenye hali tete, unaweza ukafikia ile plastic limit, hakuna kurudia originl shape.. Unaibeba aibu nzima nzima
 
Hivi mnatumia vigezo gn kujipatia warembo humu?

Mimi kila nikiingia pm nakula block.

Au wanadhani avatar ndy picha yangu halisi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…