Hivi kwa walio na wapenzi JamiiForums na bado mnacheat mnajilindaje na kugundulika na wapenzi wenu?

Kwani inakuaje mpaka unapata demu humu?
Nadhani ni zile nyuzi zao na comments zakujisifia kuwa na maisha mazuri,gari pesa nk..
Labda ndy njia ya kuwanasa warembo humu.
 
Usisahau tunapenda pia hela [emoji23]
Hapo kwenye pesa ,
ndy hata avatar yngu utaiyona kama picha ya Michael Jackson.

Kweli pesa ndy msingi wa Jambo lolote lile kwa sasa.[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…