Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Chafua tu, wala hata siogopi..😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nichafue hali ya hewa eeh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chafua tu, wala hata siogopi..😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nichafue hali ya hewa eeh!!
Kalifute aisee, linahamasisha kukopeshana mbususu...[emoji23][emoji23] ngoja nikalifute
Nshalitoa [emoji16][emoji16]Kalifute aisee, linahamasisha kukopeshana mbususu...
Safii... Mbusus ina gharama... ukizingatia ikinuka watu wanaisema hatari na mwenye mbususu ya hivyo anakuwa ndo stori ya vijiweni na atakimbiwa na kila mtuNshalitoa [emoji16][emoji16]
We nawe una yako[emoji28][emoji28]Kwa uandishi wa [mention]Kelsea [/mention] hata ajiite upopo ntajua tu[emoji28][emoji28][emoji28]
We nawe una yako[emoji28][emoji28]
Mie simo, piganeni hadi mtoane roho [emoji23]Tulia,naanza[emoji23][emoji23]
MambaAhahahahahaa...
Hivi kati ya kenge na kiboko, nani KIBOKO?
Nakumbuka enzi zako haukuwa mdogo kamwe humu hahaNadhani Jamiiforums ni moja ya mitandao yenye warembo na vijana wazuri saana.
Wengi wapo kwenye mahusiano tofauti na tunavyofikiria na yapo serious kabisa.
Na wengi wanamichepuko Yao humu humu. Sasa linalonishangaza ni kwa jinsi gani wanahakikisha hawawatongozi wapenzi wao wa zamani maana humu unaweza Kuta mtu ana ID zake nne au tano!
Kinachofanya niulize hili miaka michache kidogo nilijaribu kujitafutia mrembo humu week kadhaa hazikuisha kabla ya kupewa majibu kumbe nilishamtongozaga kwenye ID nyingine na tunawasiliana nje ya JF. Wakuu nyie hili mnaliepuka vipi?