Hivi kwa watu wanaoishi Kigamboni hii changamoto ya usafiri itakuja kuisha kweli?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
Screenshot 2024-11-25 075211.png
 
Too limited,Yan option za haraka kutika huko ni mbili tu.
Otherwise kupiga mbizi.
Tena option hizo lazima zikucheleweshe na Kwa cost kubwa.
Hata bolt mara nyingi uki-request wanacancel.
Tuna maeneo huko lakini kila nikiwaza Naina Bora nikae kibaha tu
 
serikali ya mama itajenga daraja
 
Kigamboni ndiyo sehemu yenye Akili kuliko sehemu nyingine hapa DAR..
 
Too limited,Yan option za haraka kutika huko ni mbili tu.
Otherwise kupiga mbizi.
Tena option hizo lazima zikucheleweshe na Kwa cost kubwa.
Hata bolt mara nyingi uki-request wanacancel.
Tuna maeneo huko lakini kila nikiwaza Naina Bora nikae kibaha tu
Kigamboni uta enjoy kama shughuli zako ni huku huku, ila kama kila siku inakubidi kuvuka, ni kero sana
 
Back
Top Bottom