FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,421
Nataka yale mashati ya gucci sijui ni chui chui kama ya rweyemamu, na ile mikanda ya chumma chumma......kama ya
hahaha jamani mwenzenu tangazo hili la voda huwa naburudika sana
Copy Bishanga Bashaija ..JF
KOKUTONA
Katerelo
MUZEe ya kukagua babu Asprin
Mtambuzi
Rutashubanyuma Boflo Mr Rocky
@
@
And all wana Chitchat......................
FirstLady1 yote tisa lakini kubwa kwangu ni kuwa nimekumiss sana kwenye hili jamvi...lol
Hongera kwa kuongezwa siku na hilo tangazo, hatukujua kama tangazo "retu rinakusuuza kiivo" kwa hiyo kama "unasuuzwa sana" na tangazo letu sie tutafaidika na nini toka kwako FirstLady1 ? Kupeana kikoa ujue!
Chezeiya nshomile wewe......sisi nooooooouma!!!!!
Nipo nipo ingawa siku hizi mahudhurio yamepungua
Ukinimiss wewe tumbukiza email kwenye inbox
FirstLady1 unanihakikishia utachungulia kule bila ya kuniacha kwenye mataa nikitumbukiza
HAlafu kwani duka lote bei gani
Huwa yule mzee ni balaa
charminglady nimeshindwa kuiandika hiyo banaMkuu unakosea.... wanasema hivi
"Kwa duka rote shiringi ngapi"!!!!!!
Nataka yale mashati ya gucci sijui ni chui chui kama ya rweyemamu, na ile mikanda ya chumma chumma......kama ya
hahaha jamani mwenzenu tangazo hili la voda huwa naburudika sana
Copy Bishanga Bashaija ..JF
KOKUTONA
Katerelo
MUZEe ya kukagua babu Asprin
Mtambuzi
Rutashubanyuma Boflo Mr Rocky
@
@
And all wana Chitchat......................
Mkuu unakosea.... wanasema hivi
"Kwa duka rote shiringi ngapi"!!!!!!
Nipo nipo ingawa siku hizi mahudhurio yamepungua
Ukinimiss wewe tumbukiza email kwenye inbox
HAlafu kwani duka lote bei gani
Huwa yule mzee ni balaa