Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Wajua mimi ni mtu ambaye sina rafiki permanent nina mazoea sana ya kuongea na kila mtu, na ninapenda mno stori na utani na masihara ili mradi nifurahi
Kwa kifupi mimi kwa siku kununa ni nadra sana
Kuna suala moja limewahi kutokea mwaka huu kama mara mbili hivi miongoni mwa jamaa ambayo ninahusiana nao na mabinti pia wamo, mimi uvaaji wangu ni simpo kabisa sina complication nyingi ili mradi nguo inifit na iwe nadhifu
kuna mabinti kama wawili kwa nyakati tofauti katika maongezi yetu walikuwa lazima waongelee kuhusu muonekano wangu. Mmoja ashawahi kuniambia "unajua hivyo ulivyo ukivaa na saa ya gold na cheni ya kishkaji ujue unatokelezea sana" mimi nikajua ni kawaida tu kwenye kunogesha maongezi, mwingine akawahi kuniuliza "hivi ushawahi kuvaa zile fulana fulani (akataja jina lake silikumbuki) ambazo mtu akivaa zinamfit sana kwenye mwili wake mimi nikamwambia hapana, akasema yaani sipatii picha jinsi unavyopendeza ukivaa vile na ukiwa umetupia mikato fulani hivi utapendeza, naomba siku moja uvae nikuone unavyopendeza
Sasa mimi nikajiangalia nikaona kwani kuna kipi cha zaidi nikishapendeza naona kama ni upotevu wa muda tu kujichunga kila mara na fashion, halfu kwani ji lazima kupendeza sana, nikivaa kawaida nimepasi nguo na kuchomekea si inatosha
Nikaona wananiyeyusha tu