Hivi kwanin wanachoma sindano matakoni ?

Hivi kwanin wanachoma sindano matakoni ?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili.
Nachukia sana sindano za matakoni.
 
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili.
Nachukia sana sindano za matakoni.

Nakumbuka nilikataa kuchomwa sindano matakoni last time... Nilimwomba nurse anichome mapajani.

Maumivu hayakuwa makali sababu pia ya supu supu ya sehemu hiyo. Nadhani hakuna tofauti maana zote zitafanya kazi

via i/m or intramuscular.....
 
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili.
Nachukia sana sindano za matakoni.

Nchi zilizo endelea wanapiga begani. Sisi bado nyuma.
 
unapenda sindano kwasababu anayekuchoma ni mwanaume unamwachia ---- lote achome atakavyo, we dada hatari.

Sijawahi kuchomwa sindano na mwanaume hata siku moja sasa sijui wewe umewaza nini tu
 
mimi jichome mkonono hapa kwenye mshipa mara nyingi wanacho,aga kama damu kubwa KULIKO SINDANO YA MALARIA

ILE SINDANO NAIOGOPA UWIIIII sijui kwa nini
SIPIMAGI MALARIA MIMI
 
Sijawahi kuchomwa sindano na mwanaume hata siku moja sasa sijui wewe umewaza nini tu

kwa kuwa hatuna uhakika hatubishi ila ushahidi hakuna kwa hiyo vyovyote inaweza kuwa sawa
 
Hirizi ndio kila kitu. Ukijifunga kiunoni ni Raha ile mbaya
 
Back
Top Bottom