Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili.
Nachukia sana sindano za matakoni.
Ni bora nichomwe sindano kumi kuliko kunywa panadol moja
Ni bora nichomwe sindano kumi kuliko kunywa panadol moja
Kwanin wasiwe wanachoma mikononi kama wanavyochukua damu?? Au sehemu nyingine za mwili.
Nachukia sana sindano za matakoni.
tupe kinyume nipe kopo zima la dawa ila sio sindano
Nachukia sana kumeza dawa
unapenda sindano kwasababu anayekuchoma ni mwanaume unamwachia ---- lote achome atakavyo, we dada hatari.
Mkuu huwezi jua huenda lake ni dogo tu anamwambia akachome kote!!unapenda sindano kwasababu anayekuchoma ni mwanaume unamwachia ---- lote achome atakavyo, we dada hatari.
Sijawahi kuchomwa sindano na mwanaume hata siku moja sasa sijui wewe umewaza nini tu
kwa kuwa hatuna uhakika hatubishi ila ushahidi hakuna kwa hiyo vyovyote inaweza kuwa sawa
Mkuu huwezi jua huenda lake ni dogo tu anamwambia akachome kote!!