Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Huyu mchezaji Ana mchango mkubwa sana ktk kkabu yetu, Leo amehusika kwenye Ile penati, mechi zote anazocheza Awesu wanasimba tunafurahi sana, wengine nikiwemo Mimi tunaumia sana akitolewa wakat mpira bado anautaka, Lakin haitwi timu ya Taifa.
Awesu amewazidi wachezaji wengi sana wanaoitwa stars lkn cjui shida nn, au kuchezea stars ni mipango pia