Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hana mtu pale Stars. Amekosa connection
Huyu mchezaji Ana mchango mkubwa sana ktk kkabu yetu, Leo amehusika kwenye Ile penati, mechi zote anazocheza Awesu wanasimba tunafurahi sana, wengine nikiwemo Mimi tunaumia sana akitolewa wakat mpira bado anautaka, Lakin haitwi timu ya Taifa.
Awesu amewazidi wachezaji wengi sana wanaoitwa stars lkn cjui shida nn, au kuchezea stars ni mipango pia
Anacheza namba ngapi?Mara ya mwisho amefunga miaka mitatu iliyopita
Kiukweli Awesu uwezo wake bado sana. Anawika kwenye timu ya kawaida halafu unataka aitwe Taifa Stars? Aongeze bidii anayonafasi kuja kufanya vizuri timu ya taifa ila kwa sasa hapana aseeh, Awesu bado
Huyu mchezaji Ana mchango mkubwa sana ktk kkabu yetu, Leo amehusika kwenye Ile penati, mechi zote anazocheza Awesu wanasimba tunafurahi sana, wengine nikiwemo Mimi tunaumia sana akitolewa wakat mpira bado anautaka, Lakin haitwi timu ya Taifa.
Awesu amewazidi wachezaji wengi sana wanaoitwa stars lkn cjui shida nn, au kuchezea stars ni mipango pia
Huna lolote unalofahamu kuhusu uwezo wake uwanjani nenda kachambue mchele bibieKiukweli Awesu uwezo wake bado sana. Anawika kwenye timu ya kawaida halafu unataka aitwe Taifa Stars? Aongeze bidii anayonafasi kuja kufanya vizuri timu ya taifa ila kwa sasa hapana aseeh, Awesu bado
No hard feelings
Shida yenu makolo mnaujua mpira kwa kuizunguka Simba. Mtu akija na hoja yenye ishara ya kubeza badala umjibu kwa hoja unaanza kutukana. Ishara ya upungufu wa akili.Huna lolote unalofahamu kuhusu uwezo wake uwanjani nenda kachambue mchele bibie
Upungufu wa akili unao wewe,kiwango cha Awesu inaonekana,na pia anaweza akaitwa sasa we unasema hana kiwango unaongea kama nani?Kama Mwamnyeto anaitwa sembuse Awesu?Shida yenu makolo mnaujua mpira kwa kuizunguka Simba. Mtu akija na hoja yenye ishara ya kubeza badala umjibu kwa hoja unaanza kutukana. Ishara ya upungufu wa akili.
Sasa twende kwenye facts, katika viungo Na mawinga Wote walioitwa Stars nambie anaenda kuchukua namba ya nani akamchallenge kweli. Nasisitiza punguza hisia tujadili mpira kwa uelewa kama watu tulioelimika
Game na kmc mbona katupia, utopwinyo roho zinawauma sanaAnacheza namba ngapi?
Unajigunika mablanket tuu kwa sasaMbona kama Mazuzu fc yana hasira na kila kitu? Yani utopolo...yani walamba asali...
Hakuna sehemu nimesema hana ila kiwango. Kiwango chake cha kawaida sio cha kushtua kama mnavyo mhype hapa. Lakini pia bado hujajibu swali languUpungufu wa akili unao wewe,kiwango cha Awesu inaonekana,na pia anaweza akaitwa sasa we unasema hana kiwango unaongea kama nani?Kama Mwamnyeto anaitwa sembuse Awesu?