Hivi kwanini Awesu Awesu haitwi Stars?

We nawe ujapelekwa tu milembe hadi leo
 
Ana medali yoyote ya CAF? Au angalau ameshawahi kucheza club kubwa kama Young africans? kama Msuva, Mzize, Bacca, Job n.k? Tofauti na hapo ni rasta tu kama waimba raggae wengine
 
Mchezaji wa kawaida sana, aitwe pale aachwe nani.
 
Namba anazocheza atamtoa nani pale. Hebu jifanye kocha kikosi hiki cha mwisho kilichoitwa kwenye match za mwisho ukiambiwa pale mbele umtoe mtu aingie awesu ni nan utamtoaaaa

Still nafas anayo akaze buti
 
Simba kwanza.hata asipoitwa sawa tu.huyo ni mali ya simba.sio ya umma
 
Una lazimisha aitwe timu ya taifa ili hali uwezo wake bado haujawashawishi makocha wa timu ya taifa? Ikiwa wewe ndiye huyo aweso mibangi rasta man unajipgia promo basi nakushauri kajikite kutengeneza pumzi za kuhimiri dk90 kisha uje tena na uzi wako uchwara wa kujipgia promo. Timu ya taifa si kwa kila mtu!
 
Galasa.
 
Sawa. sindano fc.
 
Huko KIZIMKAZI alishaitwa?

aache back pass ili amshawishi mjomba wake amwite huko urojooni kwanza
.
 
Bonge la mchezaji
 
Kiukweli Awesu uwezo wake bado sana. Anawika kwenye timu ya kawaida halafu unataka aitwe Taifa Stars? Aongeze bidii anayonafasi kuja kufanya vizuri timu ya taifa ila kwa sasa hapana aseeh, Awesu bado

No hard feelings
We zoba kweli. Simba ni timu ya kawaida? Au hujui hata anacheza timu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…