Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wanataka Diamond aanguke?

Si wana wivu Tu.......na wengi wao Ni maskini yani choka Ile mbaya...
 
Kwanini mnalazimisha watu wampende mond wakati mnasema anafanya vizuri???

Kwanini hamhamasishi wengine kupendwa na watanzania ili wakuiwakilisha Tanzania wawe wengi????

Tatizo lenu nyie mnadhani kumsupport mtu mwingine tofauti na mond ni kumchukia.

Na mnadhani kumpenda mond ni kuwachukia wengine wanaojikongoja ili kufikia level za mond.

Acheni mambo yenu bwana.

Kama ni support, tutoe hamasa kwa wasanii wote wa nchi yetu. Kama wafanyavyo wanigeria.

Isije kuwa kama bongo movie. Watu walimsuport kanumba wakawasahau wengine. Alipokufa, akafa na tasnia nzima.

Tubadilikeni kwanza sisi tunaompenda mond kwamba, kumsupport yeye sio kuwachukia wengine
 
wa tanzania wana tabia moja ukiwa na mafanikio unghali umetoka maisha magum lazime wa chukie tuu ndo wa furah au waku shushe i mean ufilisike
hapo hapo ukifa kila mtu atakusifu kwa uliyo tenda
TANZANIA UKITAKA USIFIWE NA KILA MTU KUFA LEO
 
Kwani Diamond akifilisika hela zake ndio zitaenda kwao? [HASHTAG]#Halleluya[/HASHTAG]
 
Mwataka apendwe na kila MTU?

Amekuwa nani?

Mungu mwenye hajawahi kuonekana na anachukiwa sembuse yeye?

Naona ni kawaida tu wanomkosoa wakaze buti na wanaomsapoti wakaze buti, haya ndo maisha

Msilazimishe kila MTU amsifie,

Hata wewe ktk familia yako na majiran si wte wanokusema vizuri,

Hivyo mashabiki zake na yy mwenyewe akubaliane na hali ilivyo
 
Ni roho mbaya tu zinasumbua watu,,na pia wivu wa maendeleo..
 
Adui yako muombee njaa mkuu....na yeye apunguze NYODO..... PIA akumbuke TEMBO HUPONZWA NA MENO YAKE...watu wanamchukia sababu ya alivyonavyo.....hakuna kingine
 
Diamond nae matusi mengi mara vinuka mikojo..kasaau alikotoka huyu mpuuzi..
 
Kwa nini unamchukia Alikiba? Kwa kifupi Diamond na Alikiba wanachukiwa sana hilo halina ubishi kama mfano ulioutoa hapo yaani hvyo kwa watanzania hii kitu hauiepukiki kamwe na kuwabadilisha watanzania hii kitu haitakuja kutokea
 
Watanzania wengi wamekata tamaa ya maisha yao na mond katoboa life ya kibongo,asili ya watu waliokwama ni kuwaombea mabaya waliofanikiwa ni WIVU WA KIJINGA sana.
Wengi wanaomponda jamaa na kumuombea mabaya hawana wanachomiliki zaidi ya simu na tv.
 
Hali imekuwa mbaya sana, niliona Mange kaanzisha kampeni ya kuhamasisha watu wairipoti nyimbo mpya Daimond youtube ifungiwe kwasababu eti ananunua viewers.
 
Badhi ya watanzania ao unaongelea timu kiba na timu wema ?? We nikilaza mwengine ... dai kapandishwa na watanzania japo kaweka bidi yake piaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…