Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wanataka Diamond aanguke?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchi vyema sana huko nje.

Nadhani hili ndilo la Msingi na tungebaki kuliangalia wote kama Watanzania. Kuwa na timu siyo makosa hata Yanga na Simba ni Wapinzani wakubwa lakini tukija kwenye Taifa Stars hizo timu tunazivua na tunavaa Utaifa. (Huu ndiyo Uzalendo jamani)

Utaifa ukiisha tunarudi kwenye timu zetu na kuanza kung'oa viti pale uwanja wa taifa. Hivyo basi kwenye kujenga sifa za wasanii wetu awe Ali Kiba, Diamond au Vanessa Mdee tushindane humu ndani lakini tusifanye chuki kiasi cha kutaka kuchafua sia zao. Hao ni watoto wetu kabisa,watoto wa nchi hii: Hakuna mzazi anayetup watoto jamani.

Tumtie moyo Alikiba na tumtie Moyo Diamond: Pia tuwakosoe pale wanapofanya vibaya hali tukiwa na dhamira safi kabiaa ya kutaka kuwajenga kimuziki. Tuepukane na fitna,majungu na uzandiki l: haya mambo hayajengi kabisa.
 
Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchu vyema sana huko nje.

Nadhani hili ndilo la Msingi na tungebaki kuliangalia wote kama Watanzania. Kuwa na timu siyo makosa hata Yanga na Simba ni Wapinzani wakubwa lakini tukija kwenye Taifa Stars hizo timu tunazivua na tunavaa Utaifa. (Huu ndiyo Uzalendo jamani)

Utaifa ukiisha tunarudi kwenye timu zetu na kuanza kung'oa viti pale uwanja wa taifa. Hivyo basi kwenye kujenga sifa za wasanii wetu awe Ali Kiba, Diamond au Vanessa Mdee tushindane humu ndani lakini tusifanye chuki kiasi cha kutaka kuchafua sia zao. Hao ni watoto wetu kabisa,watoto wa nchi hii: Hakuna mzazi anayetup watoto jamani.

Tumtie moyo Alikiba na tumtie Moyo Diamond: Pia tuwakosoe pale wanapofanya vibaya hali tukiwa na dhamira safi kabiaa ya kutaka kuwajenga kimuziki. Tuepukane na fitna,majungu na uzandiki l: haya mambo hayajengi kabisa.
*nchi

* sia![emoji777]
*siha[emoji818]
 
Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchi vyema sana huko nje.

Nadhani hili ndilo la Msingi na tungebaki kuliangalia wote kama Watanzania. Kuwa na timu siyo makosa hata Yanga na Simba ni Wapinzani wakubwa lakini tukija kwenye Taifa Stars hizo timu tunazivua na tunavaa Utaifa. (Huu ndiyo Uzalendo jamani)

Utaifa ukiisha tunarudi kwenye timu zetu na kuanza kung'oa viti pale uwanja wa taifa. Hivyo basi kwenye kujenga sifa za wasanii wetu awe Ali Kiba, Diamond au Vanessa Mdee tushindane humu ndani lakini tusifanye chuki kiasi cha kutaka kuchafua sia zao. Hao ni watoto wetu kabisa,watoto wa nchi hii: Hakuna mzazi anayetup watoto jamani.

Tumtie moyo Alikiba na tumtie Moyo Diamond: Pia tuwakosoe pale wanapofanya vibaya hali tukiwa na dhamira safi kabiaa ya kutaka kuwajenga kimuziki. Tuepukane na fitna,majungu na uzandiki l: haya mambo hayajengi kabisa.
Wana maisha magumu hao
 
Wana maisha magumu hao
Mimi leo Alikiba akienda kimataifa ni lazima ntamtia moyo kama Mpeperusha bendera wetu. Kwanini nitake asifanikiwe wakati MUNGU kampa kipaji kikubwa??? Pia najua akifanikiwa KIBA basi kuna ambao na yeye atawainua na wao watakuja inua wengine na tasnia inakua.
 
Mimi huwa nahisi wengi wetu hawajui ni nini faida ya kuwa na wasanii wakubwa..Chuki za kijinga zinaturudisha nyuma sana..Unakuta mtu kwenye concert anamzomea Mond na kurusha machupa ya maji najiuliza hili eneo la kufurahi Mbona mtu hajajiweka kufurahi,, kuna haja gani kujipa stress kumchukia mtu..Hivi katika vyooote alivyovifanya hakuna cha kufurahia??? Hakuna haja ya kufuata mkumbo,,,mafanikio ya Mondi au kiba yote ni faida ya Tanzania..
 
Mimi leo Alikiba akienda kimataifa ni lazima ntamtia moyo kama Mpeperusha bendera wetu. Kwanini nitake asifanikiwe wakati MUNGU kampa kipaji kikubwa??? Pia najua akifanikiwa KIBA basi kuna ambao na yeye atawainua na wao watakuja inua wengine na tasnia inakua.
Kiba hana Mashabiki bali ana watu ambao wanamchukia Mondi na sababu kuu tulizoea wasanii wetu ku hit kwa mda fulani na kupotea na kwenda kimataifa tukatambulisha mziki wetu ilikua kama ndoto sasa dogo kaweza ndio tatizo linaanza hapo. Wabongo tunapendwa kunyenyekewa yaani media na mameneja uwahusudu sasa Mondi kabadilisha hili kutoka kwa ma meneja njaa mpaka kuwaajiri yeye kitu ambacho kama kilikuwepo basi hakikua kwa kiwango cha Mondi na kuikuza brand yake mpaka imefika hatua hategemei sana Media kutambulisha kazi zake.

Sasa wa bongo tunapenda tu unafiq na kuonana tukiwa masikini hao kina Kiba kwenye game kitambo wameifanyia nini nchi yetu? Dogo kaweza na atafika mbali tumuunge mkono anaweza.
(samahani kwa povu langu nimeamka nazo)[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Ni kweli chuki haina nafasi katika kuonyesha kile ulichonacho kiwe kipaji ,Mali n.k baali ni juhudi zako,maarifa,hedhima na hadabu na roho nzuri pia hata mungu anakubariki ukimuheshimu yule aliejuu yako vivyohivyo muziki w Tz ukiwa mvumilivu n juhudi unafika mbali sn msanii mzuri anafanya muziki kwa kuhakikisha kuwa kila siku muziki wake unakua na ndicho anachofanya mond na sio kumuangalia au kumtarget mwenzie la hasha!ila swali langu n kwamba kiba na mond nan n mchokozi na ni nan anataka kumprove mwenzie wrong ili aonekane yey yupo sahihi ama hakika!! Tukiendelea hivi hatutafika popote katika sanaa ya muziki ila kumbukeni watanzania kizuri huwa kinaonekana hata kwenye macho y watu n sio kutafutwa!!anaepondwa kila siku ndiye anaezid kutoa nyimbo na zinahiti vizuri!!!!!!!!
 
Kiba hana Mashabiki bali ana watu ambao wanamchukia Mondi na sababu kuu tulizoea wasanii wetu ku hit kwa mda fulani na kupotea na kwenda kimataifa tukatambulisha mziki wetu ilikua kama ndoto sasa dogo kaweza ndio tatizo linaanza hapo. Wabongo tunapendwa kunyenyekewa yaani media na mameneja uwahusudu sasa Mondi kabadilisha hili kutoka kwa ma meneja njaa mpaka kuwaajiri yeye kitu ambacho kama kilikuwepo basi hakikua kwa kiwango cha Mondi na kuikuza brand yake mpaka imefika hatua hategemei sana Media kutambulisha kazi zake.

Sasa wa bongo tunapenda tu unafiq na kuonana tukiwa masikini hao kina Kiba kwenye game kitambo wameifanyia nini nchi yetu? Dogo kaweza na atafika mbali tumuunge mkono anaweza.
(samahani kwa povu langu nimeamka nazo)[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mkuu hii hangover yako imeongea ukweli mtupu, wanaomponda na kumchukia huyu dogo hawana sababu ya msingi nje ya wivu, roho mbaya na kuchukia namna alivyofanikiwa, watanzania wengi ndivyo walivyo....wanapenda wote muishi kama mashetani ndio furaha yao!
 
Back
Top Bottom