Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Akili za ajabu hizi.
Mfano mkipata viti maalum nao mtawashinikiza wasiende bungeni?
Viti maalumu kwenye uchaguzi usiotambuliwa vya nini,vyote wapewe CCM ili wabaki wenyewe walete maendeleo bila tatizo si ndio mlitaka
 
Naona Mama ameamua kutinga bungeni bila ubishi,

Wenye wivu nae watayeyuka saivi!
 
Back
Top Bottom