SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,038 Reaction score 8,929 Oct 31, 2020 #241 The Boss said: Kessy ana mkosi gani? Click to expand... Kessy na Hawa Ghasia. Kuna mahali walimuudhi baba mwenye maamuzi nadhani. Hata Amos Makala bado najiuliza alimuudhi nini huyu Mkulu sipati jibu, kama Bashe aliyekuwa kampeni meneja wa Lowasa kasamehewa hawa wengine wametenda dhambi gani? Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
The Boss said: Kessy ana mkosi gani? Click to expand... Kessy na Hawa Ghasia. Kuna mahali walimuudhi baba mwenye maamuzi nadhani. Hata Amos Makala bado najiuliza alimuudhi nini huyu Mkulu sipati jibu, kama Bashe aliyekuwa kampeni meneja wa Lowasa kasamehewa hawa wengine wametenda dhambi gani? Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
onechromosome JF-Expert Member Joined Jul 10, 2014 Posts 1,243 Reaction score 780 Oct 31, 2020 #242 promethus said: Akili za ajabu hizi. Mfano mkipata viti maalum nao mtawashinikiza wasiende bungeni? Click to expand... Viti maalumu kwenye uchaguzi usiotambuliwa vya nini,vyote wapewe CCM ili wabaki wenyewe walete maendeleo bila tatizo si ndio mlitaka
promethus said: Akili za ajabu hizi. Mfano mkipata viti maalum nao mtawashinikiza wasiende bungeni? Click to expand... Viti maalumu kwenye uchaguzi usiotambuliwa vya nini,vyote wapewe CCM ili wabaki wenyewe walete maendeleo bila tatizo si ndio mlitaka
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Oct 31, 2020 #243 Lukub said: Tija ya bunge italindwa kwa ..... kuikandamiza kanuni Click to expand... Well, this sums up our debate
Lukub said: Tija ya bunge italindwa kwa ..... kuikandamiza kanuni Click to expand... Well, this sums up our debate
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Oct 31, 2020 #244 Salary Slip said: Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu. Click to expand... Itakuwa anaogopa kubadilishwa mawazo kuwa na mawazo ya kijani. Sent using Jamii Forums mobile app
Salary Slip said: Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu. Click to expand... Itakuwa anaogopa kubadilishwa mawazo kuwa na mawazo ya kijani. Sent using Jamii Forums mobile app
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 7,574 Reaction score 10,598 Nov 2, 2020 Thread starter #245 Naona Mama ameamua kutinga bungeni bila ubishi, Wenye wivu nae watayeyuka saivi!