Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
 
Processor na Display ni miongoni mwa vitu vinavyofanya simu inakuwa ghali

Mfano kwenye Samsung ni Super Amoled Display ndio inayosababisha simu kuwa ghali.
 
Kitu kitu inaitwa 'positioning' kwenye soko..kama maji ya kilimanjaro yanavyojifanya matawi wakati yana chumvi
sijaelewa bado kaka... usinichoke.

brand ni nini? inahusikaje kwenye kuchangia bei ya Iphone?
 
ili wawauzie washamba na limbujeni wanao ona simu ya laki tano haina quality ila ile ya milioni mbili ndio yenyewe

ukiwauliza quality gani wanayozungumzia hawakytajii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…