911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,461
- 4,272
hii inatumia sensor ipi kwenye Apple? au unagusisha kwenye kioo? hhahahahaWanapia vitu vingi adimu ambavyo simu zingine hupati
Mfano kwa mkulima apple wana app ya kusoma cards za kupima kiasi cha dawa kilichopulizwa kwenye mmea na kukupa majibu kama ni high, mid au low
Siku za nyuma pia ilikua na app ya kupima fruit maturity yaani unaigusisha na tunda labda tikiti maji and inakupa majibu kama limeiva au lah
So naamini hata wa sector zingine kama ujenzi, biashara apple wana apps za kukusaidia ambazo kwenye simu zingine hupati