Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

Hivi kwanini bidhaa za Apple ni ghali?

nimeona watu wengi wana base katika QUALITY (display,sijui TUNDA lina bei and other things) kwa upande wangu BIDHAA za APPLE ni ghari kwa sababu zisizo zidi 4..

1-SECURITY (ULINZI) mtumiaji wa bidhaa za apple ana ulinzi wa DATA zake kwa asilimia 95%... tofauti na bidhaa zingine

2-Natural INSUARANCE ... huwezi kutoa icloud bila kuingia gharama... hata kama ukiikota au kuiba.. na BADO unaweza kukamatwa popote endapo mmiliki akiamua kutafuta kifaa chake... ina (TRACKING SYSTEM) ambayo kwa simu kama HUAWEI hawana... ushahid ninao.. wenyewe HUAWEI wamekili kuwa hawana TRACKING SYSTEM ya kurudisha device iliyopotea au kuibiwa kwa OWNER (MMILIKI) ila kwa apple devices ipo..

3-PRESTIGE.... (UFAHARI) ukizingatia APPLE imeshika soko la marekani na wamerakani hawapendi mfanano na nchi za dunia ya tatu na wapo updated.. ndio maana TECHNOLOGY yao wanauza kwa bei ya juu.. so kwa sisi watu wa dunia ya TATU mfano TANZANIA kumiliki bidhaa ya apple uwe vizuri mfukoni.. hivyo basi unajiona na wewe unaenda na wakati...

4-QUALITY (UBORA) sio bidhaa za APPLE tu ndio zina ubora tujikumbushe kampuni kongwe kama SONY-BLACKBERRY enzi hizo..mpaka leo wakitoa device inakuwa na quality (kwa waliowahi kutumia hizi brands wananielewa)..

-quality apple wapo vizuri katika maeneo nyeti na yanayopendwa

-CAMERA zao zina mega pixels kibao na wanampango wa kutengeneza camera yenye uwezo wa kukabiliana na TABIA/UWEZO/UBORA wa jicho la binadamu..

-POWER STORAGE inakaa na charge kwa muda mrefu.. ndio maana hadi charge zinauzwa bei na hazizagai hovyo

-SCREEN QUALITY/SIZE

-software yake HAIINGILIWI NA VIRUS kirahisi

-mpangilio wa applications zake nao umekaa vizuri na mengine mengi.

kwa upande wangu hayo ndio yanafanya bidhaa hii kuwa na BEI kubwa ingawa kuna bidhaa zina ubora zaid ya APPLE au zinalingana..

kwa kuongezea katika security hawa jamaa wapo ACTIVE SANA ndio maana..

1-viongozi wa juu wa serikali mbali mbali
2-watu wa usalama na mashirika mbali mbali ya kijasusi mfano FBI,CIA
3-wachepukaji wa kimataifa
4-wafanya biashara wakubwa
5-WATU maarufu mbele ya jamii
6..............................................................WAASI,WAUAJI,MAGAIDI; hawa walipelekea FBI na CIA kuingilia kati na kutaka APPLE watoe FURSA ya wao kuingilia VIFAA mbalimbali kufanya udukuzi wa DATA... hali iliyosababisha MAANDAMANO mjini CALIFORNIA kama mnakumbuka hili tukio... maandamano yalifanywa na watumiaji wa APPLE kugomea kutoa fursa ya system zao kuingiliwa kirahisi na wadukuzi.......

ikumbukwe kuwa WAASI/MAGAIDI bidhaa za APPLE ndio kimbilio lao kwani data zao zinakuwa salama.... na wao APPLE hii ishu ya security ndio inawaingizia FAIDA kubwa kwani ndio utofauti na DEVICE ZINGINE...

kuna HACKER... alifanikiwa kuiingiza system ya ANDROID katika IOS (apple device) walivyomgundua wakamchukua na kuwa ENGINEEER wa SECURITY katika MAABARA yao... tofauti na sie watanzania hapa.. MTU akiweza KUBADILI (IMEI) anafungwa badala ya kumkuza na kusaidia nchi
 
Apple kuna aina maalumu ya wateja walio walenga hasa watu wenye hela zao maskini wengi na kipato cha kati wanatumia window na android kwasababu ni rahisi kupatikana na mazingira tuliyonayo yanaendana na hizo software.Hiyo haina tofauti na wa Tz wengi kuendesha gari used za japan.Kwahiyo ni uwezo tu hao jamaa wamelenga watu wa uwezo wa juu.
 
Wamarekani k tu,mavitu yao wanajifanya bei sana
 
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
ukijenga brand iliyojikita sawa hata ufanye nini utakuwa juu.ndo maana wazungu wanakwambia bora ununue toyota jina kuliko kununua kiwanda. jiulize
 
Ngoja sisi walalahoi tuendelee kugonga Apple juice tu,maana ndio apple product tunayo afford!
 
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
Ukiacha ubora wa bidhaa zao, nadhani hizi picha mbili ndio moja ya sababu kwa nini bidhaa zao zinakua ghali sana, kuna sehemu 1 walisema Samsung wanapata faida sana kwa kutengeneza micro processor za iphone sasa ukiangalia yeye ni kama ananunua hizo parts then ana assemble vitu kukamilisha bidhaa na hatengenezi mwenyewe vitu vyote tofauti na kampuni kama Samsung ambayo vitu vingi inatengeneza yenyewe, hivyo ili kampuni ya apple ipate faida lazima bidhaa iwe bei juu kwa sababu na yeye ananunua parts za bidhaa hiyo.
images%20(5).jpeg
images.jpeg
 
Wakuu kichwa cha habari chahusika.
Nataka kufahamu kwa nini bidhaa za ki electronic za kampuni ya Apple ni ghali sana, kuanzia simu, ipad desktop nk. Kwa nini ni ghali ukilinganisha na zinazotumia windows, android.
Ni bidhaa bora, zina customer service backing nzuri, haziharibiki hovyo, ni bidhaa zinazovutia macho.
Pia, ukinunua Apple product leo, unaweza kukaa nayo muda mrefu sana na ukaja kuiuza kwa bei nzuri. Kwa mfano, iphone 5S sasa hivi inauzika kwa bei nzuri kuliko Samsung Galaxy S4 ingawa zote zimetoka 2013.
 
Ukiacha ubora wa bidhaa zao, nadhani hizi picha mbili ndio moja ya sababu kwa nini bidhaa zao zinakua ghali sana, kuna sehemu 1 walisema Samsung wanapata faida sana kwa kutengeneza micro processor za iphone sasa ukiangalia yeye ni kama ananunua hizo parts then ana assemble vitu kukamilisha bidhaa na hatengenezi mwenyewe vitu vyote tofauti na kampuni kama Samsung ambayo vitu vingi inatengeneza yenyewe, hivyo ili kampuni ya apple ipate faida lazima bidhaa iwe bei juu kwa sababu na yeye ananunua parts za bidhaa hiyo.View attachment 801675View attachment 801676
sas hapa nimekaaa nimewazzaaa... nikafkirii,.. as a GEREAT THINKER... kwanini hizo ASIAN countries zisiungane.. zikatengeneza product yao ambayo ni bora kwasababu almost parts za iphone zimetoka bara hilo la ASIA.. na marekan wamefanya kuweka software maybe na assembly.. ingawa china nao wanafanya assembly ya hizo parts.. so muunganiko wao na kutengeneza brand nzuri ingesaidia kuchuana KIUCHUMI na AMERICA ambao kwa sasa wanashikilia uchumi wa DUNIA kwa namna moja au nyingine..

tunarud palepale kati ya TOYOTA NA LEXUS...
 
kwa kuongezea katika security hawa jamaa wapo ACTIVE SANA ndio maana..

1-viongozi wa juu wa serikali mbali mbali
2-watu wa usalama na mashirika mbali mbali ya kijasusi mfano FBI,CIA
3-wachepukaji wa kimataifa
4-wafanya biashara wakubwa
5-WATU maarufu mbele ya jamii
6..............................................................WAASI,WAUAJI,MAGAIDI; hawa walipelekea FBI na CIA kuingilia kati na kutaka APPLE watoe FURSA ya wao kuingilia VIFAA mbalimbali kufanya udukuzi wa DATA... hali iliyosababisha MAANDAMANO mjini CALIFORNIA kama mnakumbuka hili tukio... maandamano yalifanywa na watumiaji wa APPLE kugomea kutoa fursa ya system zao kuingiliwa kirahisi na wadukuzi.......

ikumbukwe kuwa WAASI/MAGAIDI bidhaa za APPLE ndio kimbilio lao kwani data zao zinakuwa salama.... na wao APPLE hii ishu ya security ndio inawaingizia FAIDA kubwa kwani ndio utofauti na DEVICE ZINGINE...

kuna HACKER... alifanikiwa kuiingiza system ya ANDROID katika IOS (apple device) walivyomgundua wakamchukua na kuwa ENGINEEER wa SECURITY katika MAABARA yao... tofauti na sie watanzania hapa.. MTU akiweza KUBADILI (IMEI) anafungwa badala ya kumkuza na kusaidia nchi
Hapo no3. acha kabisa Password uso au fingerprint mchezoo haha lazma mchepukaji atunze usalama wake lol
 
Sio ghali kulingana na uwezo wa wateja waliowalenga. Ila wewe mtanzania ambaye bado unahangaika kutafuta hela ya chakula na nguo lazima utaona ghali.
 
Back
Top Bottom