TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
Kwasababu Wanaouita Ubunifu Ni Ngono na Mpira,Ukitoa hivyo viwili hawana content.Ni kwamba sisi consumers ndio tunapenda mambo ya uchawa, kelele kelele na watingisha matako au basi hatujaamua kufanya content zilizo concious na wakapata umaarufu
Au basi tu watengeneza maudhui na sisi watumiaji wote akili moja π
Upuuzi mwingi sana mkuu, na watu wa namna hio kichwani ni sifuri.πAisee ila kila ukifungua page ya mdada yoyote bongo hata kama anaongelea mambo ya maisha lazima akubaibaishe na makalio kwanza ili ukae sawa .
Yani unakuta video imeandikwa "MAISHA NI HATUA" ,ila ukiifungua unakutana na matako yanakupiga macho ,π
Utafanya nini sasa nduguππ ,ilifika wakati nikaachana na social media uchwara hizo,Upuuzi mwingi sana mkuu, na watu wa namna hio kichwani ni sifuri.π
Hata mimi nilishasema siwezi tumia Tiktok kabisa, Instagram yenyewe huwa nikifungua dakika tatu nyingi nisha sign out. Mitandao nayokaa muda mrefu ni JF na X.Utafanya nini sasa nduguππ ,ilifika wakati nikaachana na social media uchwara hizo,