Waliondolewa Tahrir Square??? Watu laki 3 wali camp hapo..... Hivi hicho kitu kingeruhusiwa Tz?? Si wangemwaga jeshi zima kumimina risasi.
Kuruhusu watu Kumiminika tu hadi wafurike was something ambacho Tz hakikubaliki...... Wangemaliza wote wa day one wale!! Pia ufahamu maandamano yalikua nchi nzima figure ya watu 800 sio Tahrir square pekee so ur exaggerating the facts.
Kma mnaona CHADEMA haina following then prove them wrong mkae pembeni kma the return of Lissu ilivyokua ndio utaelewa kma tuna wafuasi in millions au ni keyboard warriors tu
Nakuhakikishia kuwa mna bahati kwa kuwa makamu wa mwenyekiti ametuambia chama hakijihusishi na kukamatwa kwa mbowe, la sivyo sasa hivi tungeshajaa barabara zote kuanzia mijini mpaka vijijini. Kama ni lawama zielekeze kwa makamu mwenyekiti ššš
Waliondolewa Tahrir Square??? Watu laki 3 wali camp hapo..... Hivi hicho kitu kingeruhusiwa Tz?? Si wangemwaga jeshi zima kumimina risasi.
Kuruhusu watu Kumiminika tu hadi wafurike was something ambacho Tz hakikubaliki...... Wangemaliza wote wa day one wale!! Pia ufahamu maandamano yalikua nchi nzima figure ya watu 800 sio Tahrir square pekee so ur exaggerating the facts.
Kma mnaona CHADEMA haina following then prove them wrong mkae pembeni kma the return of Lissu ilivyokua ndio utaelewa kma tuna wafuasi in millions au ni keyboard warriors tu
Jukumu la kupambana na hili genge la wahuni wa maccm ili kubadili huu mwelekeo wa nchi yetu ambao umejaa udhalimu na dhuluma za kutisha si la Viongozi wa Chadema peke yao au wapenzi, wanachama na mashabiki wa Chadema tu.
Sera MUFILISI za maccm zinawaathiri Watanzania wote wasio na chama, wawe maccm, Chadema au chama chochote kile nchini.
Kuanguka kwa uchumi, ukosefu wa ajira kwa Universities/Colleges graduates, kubambikiwa kesi FEKI, kupanda kwa gharama za maisha, Wafanyabishara na Wakulima kudhulumiwa, kubambikiwa kodi kubwa, elimu yetu kuzidi kuanguka, huduma mbovu za afya, upatikanaji wa maji safi, umeme wa uhakika n.k.
Haya yote niliyoyaainisha hapo juu hayawaathiri Chadema tu bali Watanzania wote hivyo wajibu wa kupinga huu mwelekeo mbaya wa nchi yetu ni wa Watanzania wote bila kujali itikadi zetu.
Huo ndiyo ujasiri wa mwoga. Itās another keyboard, by the name of mob psychology. In isolation, hao wote, wakiwemo Heche, Msigwa na Sugu, utadhani ni Wazaramo wa Maneromango![emoji28]
Kuna mambo yanakera sana mkuu. Angalia sasa hivi SSH alivyokwenda kujikuta kakwama matopeni:
1. CCM chawa wa mwendazake hawataki kusikia Corona, chanjo, tahadhari au yatokanayo. Pia hawataki katiba mpya.
2. CCM chawa wa SSH hawataki katiba mpya ila wanamwunga mkono, kwenye msimamo wa Corona na yote yatokanayo.
3. Chadema waliokereka na mwelekeo wa SSH baada ya msimamo wake kuhusiana na katiba mpya kukolezwa vilivyo na sakata la Mwanza na yatokanayo yake yote, hawana mpango naye tena.
4. Wengine waliobakia wakiwamo CUF, ACT, na wasio na vyama na ma liberali wasioeleweka wanataka nini.
#1 ni wengi kuliko #2
#3 ni wengi kuliko #4
#3 wanaweza kuwa sawa na #1 kiidadi.
Kwamba Chadema ni wanyonge? Labda kama mleta mada ana maana kuwa SSH amewavunja moyo na hawana sababu tena ya kumwunga mkono kwa lolote.
Huwafanyii watu ukiukwaji mkubwa wa haki zao, ukatumia polisi kuwakamata, ukawabambikizia kesi nk kisha ukategemea wakuunge mkono.
Katikati ya kuelekea chanjo ya Corona kutoka kwa beberu waliyeaminishwa wapumbavu kuwa ni mchawi wetu mwenye kutupiganisha vita vya kiuchumi, chanjo kwetu ni muhimu zaidi kwa sasa kuliko mengine yote:
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
www.jamiiforums.com
Ifahamike kuwa jukumu la kwanza la serikali yoyote ni kuwaunganisha watu wake na kupata uhalali tokea katika walio wengi.
Serikali inayoshindwa kuwaunganisha watu wake na ikashindwa kupata uungwaji mkono wa wengi hupoteza uhalali wa kuwapo kwake.
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...
www.jamiiforums.com
Kwetu chanjo inaendelea kuwa ni muhimu na umuhimu wake kwa sasa unaishia kwetu sisi wenyewe. SSH na washirika wake wakale waliko peleka mboga.
Jukumu la kupambana na hili genge la wahuni wa maccm ili kubadili huu mwelekeo wa nchi yetu ambao umejaa udhalimu na dhuluma za kutisha si la Viongozi wa Chadema peke yao au wapenzi, wanachama na mashabiki wa Chadema.
Sera MUFILISI za maccm zinawaathiri Watanzania wote wasio nĆ” chama, wawe maccm, Chadema au chama chochote kile nchini.
Kuanguka kwa uchumi, ukosefu wa ajira kwa Universities/Colleges graduates, kubambikiwa kesi FEKI, kupanda kwa gharama za maisha, Wafanyabishara na Wakulima kudhulumiwa, kubambikiwa kodi kubwa, elimu yetu kuzidi kuanguka, huduma mbovu za afya, upatikanaji wa maji safi, umeme wa uhakika.
Haya yote niliyoyaainisha hapo juu hayawaathiri Chadema tu bali Watanzania wote hivyo wa kupinga huu mwelekeo mbaya wa nchi yetu ni wa Watanzania wote bila kujali itikadi zetu.
Nakuhakikishia kuwa mna bahati kwa kuwa makamu wa mwenyekiti ametuambia chama hakijihusishi na kukamatwa kwa mbowe, la sivyo sasa hivi tungeshajaa barabara zote kuanzia mijini mpaka vijijini. Kama ni lawama zielekeze kwa makamu mwenyekiti [emoji23][emoji23][emoji23]
Vilevile fukuzafukuza na hamahama ya wanachama na viongozi waandamizi na maarufu imewashusha sana. Wanamsemo wao hata akiondoka Mbowe CDM itakuwepo, wanashindwa kuelewa kuna watu huwezi kuwatenganisha na umaarufu wa taasisi flani. CCM kuwarudisha akina Lowassa, Sumaye na wengineo hawakuwa wajinga. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!
Japo unawajaza wenzio ila hawathubutu kumtetea. Pengine wanaujua ukweli.
Lakini pia,CHADEMA imebaki twita,insta na hapa jf. Wananchi wa kawaida hata hawaikumbuki.
Imebaki na jamaa mmoja sijui ndo Twaha,James Mbowe ambaye anaandaliwa kuwa mwenyekiti,Heche japo nae anabeep,Msigwa japo nae anabeep.
Mnyika,yeye ni ingia toka.
Sugu yupo busy kuwahudumia wateja wake hotelini na kunywa soda na wanawe. Prof.Jay yupo busy na Nandi festival.
Huwasikii sijui nani wa majimbo,wilaya wala kata. Kila walichoanzisha HQ kimekwama.
Kuna mambo yanakera sana mkuu. Angalia sasa hivi SSH alivyokwenda kujikuta kakwama matopeni:
1. CCM chawa wa mwendazake hawataki kusikia Corona, chanjo, tahadhari au yatokanayo. Pia hawataki katiba mpya.
2. CCM chawa wa SSH hawataki katiba mpya ila wanamwunga mkono, kwenye msimamo wa Corona na yote yatokanayo.
3. Chadema waliokereka na mwelekeo wa SSH baada ya msimamo wake kuhusiana na katiba mpya kukolezwa vilivyo na sakata la Mwanza na yatokanayo yake yote, hawana mpango naye tena.
4. Wengine waliobakia wakiwamo CUF, ACT, na wasio na vyama na ma liberali wasioeleweka wanataka nini.
#1 ni wengi kuliko #2
#3 ni wengi kuliko #4
#3 wanaweza kuwa sawa na #1 kiidadi.
Kwamba Chadema ni wanyonge? Labda kama mleta mada ana maana kuwa SSH amewavunja moyo na hawana sababu tena ya kumwunga mkono kwa lolote.
Huwafanyii watu ukiukwaji mkubwa wa haki zao, ukatumia polisi kuwakamata, ukawabambikizia kesi nk kisha ukategemea wakuunge mkono.
Katikati ya kuelekea chanjo ya Corona kutoka kwa beberu waliyeaminishwa wapumbavu kuwa ni mchawi wetu mwenye kutupiganisha vita vya kiuchumi, chanjo kwetu ni muhimu zaidi kwa sasa kuliko mengine yote:
Utu uzima dawa, na ya kale ni dhahabu. Mzee Warioba ni mtu wa kuonwa kwa ushauri (consultation) na wote wenye nia njema na nchi hii na hasa wale walio wazalendo. Hii ni kwa wote tokea serikalini na hata wanaopambania kupatikana katiba mpya. Mzee Warioba yuko wazi kuhusu umuhimu na udharura...
www.jamiiforums.com
Ifahamike kuwa jukumu la kwanza la serikali yoyote ni kuwaunganisha watu wake na kupata uhalali tokea katika walio wengi.
Serikali inayoshindwa kuwaunganisha watu wake na ikashindwa kupata uungwaji mkono wa wengi hupoteza uhalali wa kuwapo kwake.
Ni wazi kuwa kwa makamanda wengi suala la chanjo ni muhimu lililokuja likiwa limechelewa mno. Inafahamika kuwa Chanjo hii imetufikia kutokea kwa tulioaminishwa kuwa ndiyo walio wachawi wetu wakuu yaani mabeberu. Ni barakoa, PPEs, sanitizers nk? Vyote vikinasibishwa na upigaji wa mchawi beberu...
www.jamiiforums.com
Kwetu chanjo inaendelea kuwa ni muhimu na umuhimu wake kwa sasa unaishia kwetu sisi wenyewe. SSH na washirika wake wakale waliko peleka mboga.
Sijaribu kufanya mzaha na hili suala, ila watu wa CHADEMA ukiwasikia mitandaoni unaweza sema ni wanamgambo wa Taliban. Branding yao wameiweka kikamanda, ila matendo ni kama kikundi cha kusutana. [emoji3]
Nyani Ngabu huwa anapenda kuanziasha mada za kuwabughudhi na kuwachokonoa Chadema kwa sababu anaongeza umaarufu wake hapa na kupata wachangiaji wengi. Hapa ukitaka kila member akujue uwe unatetea kila jambo linalofanywa na serikali hata liwe na uozo namna gani. Na wapinzani hasa Chadema wabughudhi kwa vijembe na kebehi. Trust me, jina lako litakuwa maarufu sana hapa. This is a funny side of many Tanzanians, i.e. hawajui kum-ignore mtu au kitu wasichotaka au kinachowa-irritate mioyo yao.
Mkuu Nyani Ngambu atafute āumaarufuā hapa JF kweli? Huyu huyu Ngambu wa tangu enzi za Jambo Forum? Natumaini wewe pia ni mkongwe hapa,kwa tuliokuwepo tangu enzi hizo za 2006 mtu kama Nyani Ngambu,Mwanakijiji,Kichuguu,Mwafrika wa Kike,Sikonge na wengine wengi mbona ni maarufu sana tangu enzi hizo.
Ngabu huwa anapenda kuchokonoa mijadara na si kutafuta umaarufu.Mpe heshima yake huyu Legendary wa Jambo Forum na sasa Jamii Forum.Rudi kwa hoja yake ya msingi aliyouliza hapa.
Jeshi la bongo likatae amri??? Uliona kilichotokeaga zenji 1999 mpka january 2000 kwenye zile twin elections?
We subiri maandamano ya amani yakitangazwa utasikia vitisho vya kila aina. But hoja nashikilia ni kwamba kma yakiachwa tu turnout itakua kubwa sana same to ile siku Lissu amerudi
Huo ndiyo ujasiri wa mwoga. Itās another keyboard, by the name of mob psychology. In isolation, hao wote, wakiwemo Heche, Msigwa na Sugu, utadhani ni Wazaramo wa Maneromango![emoji28]
Kwani hiyo video walikua kwenye keyboard hao?? Polisi msipo interfere you know CHADEMA has numbers. Mlitukana sana kuwa chama kimekufa but nadhani wote tuliona mass following kuelekea kampeni kila tulipopita ikabidi hadi mvuruge uchaguzi maana hamkuamini kabisa.
Siku Lissu amerudi polisi hawakuingilia je hukuona hilo nyomi??
Nyani swala la maandamano TZ mara nyingi huishiaga pabaya mnooo kwani polisi wanaweza kufanya chochote kwa yoyote.sio Chadema tuu, ni watanzania wote. Swala la tozo ambalo hata CCM LILIWAGUSA kelele zimekuwa za mtandaoni tu, hakuna aliyeandamana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.