Aya niambie siku gani bei ya chumvi ilikuwa inayumba kama zinavyoyumba bei za bidhaa tajwa hapo juu kama vile Sukari, Sembe, ngano mafuta na NkBei ya chumvi iko pale pale...
Haya nionyesheni duka linalouza chumvi ndogo shilingi 50 na chumvi kubwa shilingi 100
Bei ya chumvi inapanda kwa sababu ya thamani ya pesa kushuka na gharama za maisha kupanda.Bei ya chumvi iko pale pale...
Haya nionyesheni duka linalouza chumvi ndogo shilingi 50 na chumvi kubwa shilingi 100
Muelewe mtoa mada.. yaani ana maanisha rate ya upandaji bei ya chumvi ni ndogo sana kulinganisha bidhaa nyingine.Bei ya chumvi iko pale pale...
Haya nionyesheni duka linalouza chumvi ndogo shilingi 50 na chumvi kubwa shilingi 100
Hahaaaaaa.......wakulungwa wamekuelewa kwa hyo ulinunua chumvi kwa 10000 ??Mwenzako niliambiwa na kwenda chumvini tsh 10000
Alipigwa aiseeeee yaani utamu umpe yeye na hela juuHahaaaaaa.......wakulungwa wamekuelewa kwa hyo ulinunua chumvi kwa 10000 ??
Sent using Jamii Forums mobile app
Safari hii lazima ipande bei ni swala la Muda mabwawa yote Yamahas maji hakuna uvunaji Sio Rukwa sio Uvinza sio Gendabi Eyasi na Haya hapa Dar uvunaji umesimama kwa zaidi ya miezi 6Chumvi haiwezi panda labda uipandishe kwenye koromeo uimeze....kwani nyie mkienda uvinza mnataka chumvi ipande?
Sent using Jamii Forums mobile app