Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Miaka nenda miaka Rudi nikienda Dukani nakuta bei ya Chumvi iko pale pale,
Bidhaa zingine muhimu kama vile Sukari, mafuta, Unga kila siku naona zinabadirika bei,
Leo unaweza kuta imepanda, kesho imeshuka,
Sasa kwa nini Chumvi huwa haipandi bei licha ya umuhimu wake?
CC Zero IQ