Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
ingekuwa vyema sana. mtu akitaka kuuza mazao Kenya iwe tu kama anapeleka Dar kutoka Moro. kusiwe na kodi wala mambo ya kufunga mipaka. kwenye umoja kuna nchi 6 na karibia watu 150m ni soko kubwa sana. Tanzania tuna eneo kubwa na sehemu kubwa inafaa kwa kilimo, tutafaidika sana.