Hoja hapa kwa nini tunashindwa kuwafunga...hivi kwa mawazo yako sasa hivi Uganda wakisikia wanacheza na Tanzania wanashtuka ukilinganisha na sisi kusikia tunacheza na Uganda?Lakini si tumefuzu
Jukumu la mwalimu ni pamoja na kufundisha nidhamu.Pia hii ni dalili ya kuzidiwa mbinu na uwezo kiuchezaji katika mchezo.Jiulize pia mchezaji wa Tanzania aliyesababisha faulo iliyowapa uganda kupiga free kick na kupata goli la kwanza ilkua na ulazima wakufanya ile faulo?. Nidhamu mbovu.
Hahaha acha tu ndugu yanguNi kama naipata vizuri pointi yako.
Na hii kansa tunayo kwenye maeneo mengi sana haswa yanayohusisha vipaji...
Nadhani tunaoamini kuwa tulifanyiwa wepesi tupo wengi kuliko wanaoamini tofauti.Ile AFCON nakataa kwakuwa hata match ya kwanza iliyofanyika Uganda hakuna aliyekuwa amefudhu. Kumbuka ile game ya kwanza ilitoka bilabila. Kipindi cha kwanza Waganda walicheza poa but kipindi cha pili Waganda walipotezwa sana na Samatta angeongeza umakini walikuwa wanakufa 2 wale. Match ya pili ilikuwa lazima Uganda afe.
Good pointBongo siasa nyingi sana yan hata kuchaguliwa hizi team za taifa ni siasa tu,hawaangalii vipaji wala nni ukweli ni kwamba kuna wachezaji wengi ktaaa wanavpaji katika soccer bt njia ya kufika huko juu ndo wamekaa hawa wapga madili.