Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Hivi kweli Sukuma gang wote hamna hoja ila ni matusi tu [emoji848][emoji848]
Sasa "mungu" wao wa sukuma gang hakuwa na hoja na hakupenda kabisa watu wenye hoja,unategemea wafuasi wake ndio wawe na hoja!!???

"Baki na mavi yako nyumbani". Hii kauli ni ya mtu mwenye hoja kweli!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…