Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #41
Ina wezekana ata hakumkuta bikraSiyo kweli 100% utakataa uwezavyo lkn ukweli unaujua mwenyewe yaani kitu kipya kiendeleee kuwa kipya ? Yaani hata bikra yake inarudi kila siku? Kama sivyo huo upya wa kila siku unatoka wapi?
Ohhh kumbe sawaThis things are complex and even you, yourself, may not aware. Ni suala la afya ya akili zaidi hivyo hata wewe unakuwa hujui.
Daima ukweli husimama na kubaki vilevile!Kujiendekeza tu mimi mke wangu nimeanza kuishi naye muda san sahivi tuna miaka akribu sita ya kuishi pamoja hiyo hali mbona isinitokee? Ni kujendekeza na kujifanyisha tu kwamba unamuona wa kawaida hata kwenye kazi kuna mtu akishapata kazi basi anaanza kuleta mazoea siku za mwanzo anajitahidi kuwahi, kupiga kazi ila akizoea analeta amzoea.
kama hakukuwa na connection ya kihisia kabla ya tendo, Kumvua Nguo huongeza kilichokuwepo tayari; halijengi dharau bali inaongeza thamani
Nasisitiza tena ni Kujiendekeza badili mtazamo kila siku mpya Muone mpya Fanya naye vitu Vipya, Utani wa hapa an pale Shida wanaume wengi tunaona Kumvua chupi mwanmke ni jambo Kubwa san ndio maana wengine siku ya Kwanza au ili ampate mwanamke yupo tayari hata kuuza kiwanja amhonge ili tu apate K. Huo ni ulimbukeni na Ujinga
kwahiyo sasa Hivi unamdharau mkeo kisa alikupa K Sio. Utofauti unakuwepo lakini sio kwamba unamdharau maana malengo yanabadilika majukumu nk na kama limdharau kwanini Ulimuoa? ulioa mtu ambaye unamdharau na kumuona wa kawaida tu sioDaima ukweli husimama na kubaki vilevile!
Mimi mke wangu ninaye zaidi ya muda wako ulotaja hapa. Lakini kipindi namtongoza na sasa ni vitu viwili tofauti na sio kwangu tu hii ni automatically.
Huwezi kumuona mpya mtu ambae kila siku unaye na chupi zake zote unazijua rangi huo upya unatoka wapi?
Msiigize na kutuona sisi ama ni wazinzi sana ili hali unajua kabisa kitu usemacho sio kweli. Ama zaidi ya hilo basi umelogwa haupo sawa.
Na hisi ivyoKwanini umdharau? Au unamlinganisha na wengine unaowavua?
Sio kweliiHizo dharau ndo zinasababisha watu kukomoana ndugu. Mfano umemalizana na afu ukaanza kumdharau atafanya juu chin ili na wewe akukomoe hata kwa gonjwa. Ukiona dharau inakuja automatically peleka kwa fundi akutengeneze uwe manual. Kama una mikikimikiki ya hatara na akavumilia mkamaliza wote salama huwez kumdharau hata cku na moja lakini kama n dk 2 pumzi inakata lazma umdharau kwa kuuvumilia udhaifu wako.
Hii ni kweli huyo jamaa anakomaa tu. Utaendelea kumpenda ila hali haiwezi kuwa kama pale mwanzo. Na kinachofanya sasa kuendelea inategemea pia na mwanamke naye yukoje na anakuchukuliajeDaima ukweli husimama na kubaki vilevile!
Mimi mke wangu ninaye zaidi ya muda wako ulotaja hapa. Lakini kipindi namtongoza na sasa ni vitu viwili tofauti na sio kwangu tu hii ni automatically.
Huwezi kumuona mpya mtu ambae kila siku unaye na chupi zake zote unazijua rangi huo upya unatoka wapi?
Msiigize na kutuona sisi ama ni wazinzi sana ili hali unajua kabisa kitu usemacho sio kweli. Ama zaidi ya hilo basi umelogwa haupo sawa.
Vyote naweza kufanya ila sio kunyonya uchi wa mwanamkeUkijiona hivo ujue wewe umezoea kununua malaya(dada poa) kwaiyo huwez kuona thaman ya mwanamke,wewe kwako thamani ni lile shimo na ndio maana ukishalikojolea unaanza kulitoa kasoro...mara utasema pana,mara lina maji,et linanuka,hajanyoa,mara mkavu sana loh.....
Tafuta mwanamke mmoja mfanye demu wako,mfanye malaya wako,danga lako,mhonge hela zote,mnyonye mpaka nyuchi yake,mgeuze stail zote nakwambia itachukua muda kumchoka
Baada ya muda huo kinachombeba mwanamke huyu kudumu na mwanaume ni TABIA yake na sio uzuri wake wala matako yake.Hii ni kweli huyo jamaa anakomaa tu. Utaendelea kumpenda ila hali haiwezi kuwa kama pale mwanzo. Na kinachofanya sasa kuendelea inategemea pia na mwanamke naye yukoje na anakuchukuliaje
Alichokosea ni Neno Dharau lakini kumuona wa kawaida kuliko mwanzo ni Nature hadi kwa wanyama!kwahiyo sasa Hivi unamdharau mkeo kisa alikupa K Sio. Utofauti unakuwepo lakini sio kwamba unamdharau maana malengo yanabadilika majukumu nk na kama limdharau kwanini Ulimuoa? ulioa mtu ambaye unamdharau na kumuona wa kawaida tu sio
Nke wako u Ng'wanike wa kale? Nange?Kwangu mimi my wife ni mpya kila siku sijawahi kujuta.
Huyu kaandika huku akijua alichoandika siyo cha kweliNke wako u Ng'wanike wa kale? Nange?