Hivi kwanini hii dharau ina kuja automatically?

Mhmmm huwa naona , ila najiulizaga maswali naishia kunyamaza ila sio kawaida🀣🀣
Unajiuliza maswali gani khakhaa! Na akila zisizo na mbele wala nyuma napo namchambaaa wee kimtu hata hakieleweki!
 
Unajiuliza maswali gani khakhaa! Na akila zisizo na mbele wala nyuma napo namchambaaa wee kimtu hata hakieleweki unakua ulafi wa kumarr!
Na yeye tukitaka kumuibia wewe atakua kama wewe🀣
 
Why ukisha mvua nguo tu mwanamke ukitoka njee ya kile chumba una kua una mdharau una mchukulia ni mtu wa kawaida sana ata kama uli angaika kumpata?


Hii ni kwangu tu au
Ashki majinuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…