Hivi kwanini hizi gari aina ya prado tx,, huwa watu wengi wanaziita mchaga,,,, vipi kuhusu ubora, spare upatikanaji, ulaji wa mafuta n.k

parajonse

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
9
Reaction score
7
IVI KWANINI HIZI GARI AINA YA PRADO TX,, HUWA WATU WENGI WANAZIITA MCHAGA,,,, VIPI KUHUSU UBORA, SPARE UPATIKANAJI, ULAJI WA MAFUTA N. K
 
Yaani wachaga ndio watu wa kwanza kununua Prado toleo la Tx.
Mchaga wa kwanza kununua ni Mzee Shirima wa Rombo akarithisha ukoo...baadaye akafuata Mmarangu mmoja hivi ikawa ndio fasheni ya wachaga kununua hizo Prado.
Kwa uimara ni gari nzuri hazisumbui sana, spare zake zimetapakaa kila mahali!
Ulaji wa mafuta ni mzuri sana...!!!
Zina injini imara ndio maana hao wazee wa kichaga huzipenda kwa ajili ya kuendea kwao hasa waliopo maeneo ya milimani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…