Yaani wachaga ndio watu wa kwanza kununua Prado toleo la Tx.
Mchaga wa kwanza kununua ni Mzee Shirima wa Rombo akarithisha ukoo...baadaye akafuata Mmarangu mmoja hivi ikawa ndio fasheni ya wachaga kununua hizo Prado.
Kwa uimara ni gari nzuri hazisumbui sana, spare zake zimetapakaa kila mahali!
Ulaji wa mafuta ni mzuri sana...!!!
Zina injini imara ndio maana hao wazee wa kichaga huzipenda kwa ajili ya kuendea kwao hasa waliopo maeneo ya milimani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.